Angalia Picha Kali Za Mpenzi Wa Zamani Wa Davido

Mrembo Sophia Momodu ambae ni mpenzi wa zamani wa mwanamuziki Davido wa Nigeria amesambaza picha zinazomuonyesha akiwa kwenye tamasha la Rihanna Anti World Tour Kwenye uwanja wa wembley London, Uingereza.
Mrembo huyo ambae ni mama wa mtoto mmoja bado anaonekana ni mrembo tofauti na alivyokua kipindi cha nyuma.


Post a Comment
Powered by Blogger.