Afikishwa Kituo Cha Polisi Kwa Kupita Barabara Ya Mwendokasi

Mohamed Jamal mwenye umri wa miaka 32 mkazi wa Tandika Dar Es Salaam ambaye ni Dereva wa gari aina ya IST amefikishwa kituo cha polisi oysterbay kwa kupatikana na hatia ya kupitia njia za mwendokasi.
Post a Comment
Powered by Blogger.