Yanga Yawapiga Ndi Ndi Sagrada Esperanca Bila Hurumu Kombe La Shirikisho Barani Africa.

Yanga.
Wakicheza katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam mbele ya mashabiki waliofulika kuutazama mchezo wa kombe la shirikisho barani Africa timu ya Yanga iliwaalika wangola timu ya Sagrada Esperanca na kuibuka na ushindi wa 2-0.
Kipindi cha kwanza timu zote zilikwenda mapumziko zikiwa sare ya bila kufungana na kipindi cha pili kilianza kwa Yanga kwa kushambulia kwa kasi huku Esperanca wakicheza kwa kujilinda hatimaye Simon Msuva aliiandikia bao timu yake.
Simon Msuva.
Akitokea banchi kuchukua nafasi ya Malimi Busugu kijana wa kizanzibar Mateo Anthony aliiandikia bao la pili na la ushindi timu yake ya Yanga na mchezo wa marudiano utachezwa nchini Angalo tarehe 16/18.
Post a Comment
Powered by Blogger.