Yanga Yatinga Hatua Ya Makundi Afrika Huku Nadir Canavaro Kala Nyekundu,Dida Kaokoa Penati.

Yanga.
Wakicheza ugenini kutafuta nafasi ya kuingia hatua ya makundi timu Yanga walicheza na wenyeji timu Sagrada Esparanc mpira ulikuwa wac kazi huku wenyeji wakicheza kwa kila mbinu ili waibuke na ushindi wa aina Yoyote Dk 39 Mshambuliaji wao hatari Love Kabungula aliandikia timu yake bao la kuongoza hadi mapumziko Wenyeji walikuwa wanaongoza 1-0.
Love Kabungula.
Kipindi cha pili kilianza kwa kasi huku wenyeji wakitafuta bao la pili huku nao Yanga wakicheza kwa kutafuta bao la ugenini huku vile wakilinda mabao yao mawili waliyoyapata Dar es Salaam.
Sagrada Esparanc.
Hadi dakika 90 wenyeji wameibuka na ushindi wa 1-0 hivyo Yanga anasonga mbele kwa jumla ya ushindi wa 2-1 huku wachezaji wa Yanga wakipata kadi Nyekundu huku golikipa Dida akidaka penati muhimu.
Post a Comment
Powered by Blogger.