Wema Sepetu Atokwa Na Machozi Kisa Haruna Niyonzima.

Wema Sepetu.

Baada ya Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Sagrada Esperanca ya Angola, msanii wa filamu nchini, Wema Sepetu, amefunguka kuwa hajui ni kwa nini amekuwa akimpenda kiungo wa timu hiyo, Mnyarwanda, Haruna Niyonzima.
Kocha wa Yanga akiwa na Niyonzima.
Yanga.


Katika mchezo huo wa Kombe la Shirikisho Afrika uliopigwa juzi Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa, Dar, Wema ambaye pia alikuwa Miss Tanzanani mwaka 2006, akiwa amekaa Jukwaa la VIP A kwa ajili ya kutoa sapoti kwa timu yake hiyo.


www.seetheafrica.com
Post a Comment
Powered by Blogger.