WAZIRI ATENGULIWA MADARAKA KWA ULEVI

Rais John Magufuli leo ametengua uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga baada ya waziri huyo kuingia bungeni na kujibu swali la wizara yake akiwa amelewa. Taarifa ya Ikulu
yasema
BONYEZA HAPA KUJUA ZAIDI.
Post a Comment
Powered by Blogger.