Wapenzi Wa Jinsia Moja Wapinga Hatua Ya Kukaguliwa Utupu Wa Nyuma.
![]() |
Wapenzi wa jinsia moja. |
Vitendo vya wapenzi wa jinsia moja kushiriki ngono ni kinyume na sheria nchini Kenya na adhabu ya makosa hayo ni miaka 14 jela.
Mahakama ya Mombasa imewapatia mawakili wa serikali wiki moja kutoa jibu.
Chini ya sheria ya kimataifa ,ukaguzi wa lazima katika tupu ya nyuma ni kitendo cha kikatili,unyama na ni sawa na mateso kulingana na kundi la haki za kibinaadamu Human Wrights Watch.