Video | Kauli Ya Nape Baada Ya Yanga Kuingia Nane Bora CAF.

Baada ya kutinga nane bora timu ya Yanga Waziri wa michezo Nape Nnauye ametowa pongezi kwa uongozi wa klabu hiyo na kusema kuwa serikali ipo tayari kwa msaada wowote kwa timu hiyo ili iweze kufanya vizuri katika makundi.


Powered By Red Gold
Post a Comment
Powered by Blogger.