Tazama Ratiba Ya EURO 2016 Ufaransa Je Kundi D Ni La Kifo?

Michuano ya Euro inatarajiwa kuanza Juni 10 hadi Julai 10 nchini Ufaransa hii baada ya ligi mbalimbali barani Ulaya sasa kila mshabiki atamfuata mchezaji anayempenda ili kuendelea kumshangilia kwenye Taifa lake Tazama Ratiba ya Makundi.

Group A.
France.
Romania.
Albania.
Switzerland.

Group B.
England.
Wales.
Russia.
Slovakia.

Group C.
Germany.
Ukraine.
Poland.
Northern Ireland.

Group D.
Spain.
Czech Republic.
Turkey.
Croatia.

Group E.
Belgium.
Italy.
Republic Of Ireland.
Sweden.

Group F.
Portugal.
Iceland.
Austria.
Hungary.

Wenyeji timu ya Ufaransa wataanza kufungua dimba Juni 10 kwa kucheza na timu ya Taifa ya Romania kila kundi litatoa timu mbili za juu zitakazoingia hatua ya Robo fainali na tayari mashabiki wa soka ulimwenguni wanalichambua kundi D kuwa ni la kifo.
Post a Comment
Powered by Blogger.