Tazama Mawazo Ya Spika Wa Republican Alivyompinga Donald Trump.

Paul Ryan.
Spika wa Republican katika Baraza la Wawakilishi la Marekani,Paul Ryan,amesema hayupo tayari kumuunga mkono Donald Trump kuwa mgombea wa Urais kupitia chama hicho.
Donald Trump.
Mfanyabiashara huyo bilionea anaonekana dhahiri kushinda katika mbio za uteuzi kukiwakilisha chama hicho lakini Ryan alisema kuwa kabla hakuweza kuidhinisha suala hilo,Na kuwa Trump alipaswa kuwaonyesha watu kuwa anaheshimu taratibu za Republican na angepata kura za Wamarekani wengi zaidi.

Katika kulijibu hilo Trump lisema hakuwa tiyari kuunga mkono ajenda ya RyanMapema Marais wa zamani wa Marekani George W Bush na babaye George Bush waliweka wazi kuwa hawatunga mkono kupita kwa Trump
Post a Comment
Powered by Blogger.