Tazama Hapa Kikosi Cha Azam Kinachoanza Dhidi Ya JKT Ruvu.

Kikosi cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, kitakachocheza na JKT Ruvu katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) utakaofanyika Uwanja wa Azam Complex leo saa 10.30 jioni.
28 Aishi Manula
6 Erasto Nyoni
2 Gadiel Michael
25 Abdallah Kheri
12 David Mwantika
23 Himid Mao
29 Michael Bolou
8 Salum Abubakar
20 Mudathir Yahya
19 John Bocco (C)
10 Kipre Tchetche

Post a Comment
Powered by Blogger.