Taji Barcelona Yatwaa Kombe La Mfalme Dhidi Ya Wababe Wa Liverpool.


Klabu ya soka ya Barcelona imetwaa kombe la Mfalme Hispania, maarufu kama Copa del Rey katika Fainali ya 114.
Huku wakicheza pungufu Barcelona hawakukata tamaa waliendelea kulishambulia lango la Sevilla hadi dakika 90 timu hizi zilikuwa hazijafungana ndipo zikaongezwa dakika 30 hivyo Barcelona waliibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya mabingwa wa Europa League ambao waliwafunga majogoo Liverpool mabao 3-1.
Wachezaji Jordi Abba na Neymar ndio walio iwezesha Barcelona kutwaa taji hilo katika Fainali iliyopigwa Jijini Madrid kwenye Uwanja wa Atletico Madrid wa Estadio Vicente Calderon.
Hii ni Fainali ya 37 ya kombe la kwa Barcelona huku Barca wakishinda mara ya 28 sasa.
Ikumbukwe Mwaka Jana, Barca walitwaa Kombe hili kwa kuifunga Athletic Bilbao 3-1.
Post a Comment
Powered by Blogger.