Shabiki Aikosoa Video Ya Harmonize, Asema Ni Copy And Paste.

Mdau mmoja wa muziki ametumia mtandao wa Instagram kuikosoa video ya wimbo Bado wa Harmonize iliyofanyika nchini Afrika Kusini akkikitaja kitu kilichojulikana kama Copy and Paste ya Stupid Love ya Jason Derulo.
 Akionesha kutofurahishwa na kitendo hicho Shabiki huyo alipost picha ya vipande vya video hizo mbili vikionyesha Scene zilizofanana huku akiambatanisha na ujumbe huu:


AKIFANYA #INTERVIEW UKIMUULIZA KWANN UMEENDA KUSHOOT NJE YA NCHI NA DIRECTR SIO WA KIBONGO UTASIKIA UJUE MADIRECTR WA BONGO WAMEKOSA UBUNIFU AHAHAHAHAH Mimi binafsi sijawahi kuona directr wa home amecopy video yoyote sasa unapoenda kushoot nje ya nchi na kisha huyo unaesema best directr wako anakupiga crip good nin,the end of the day unagundua kumbe kuna sehem ameslide mzeeeeee hile vuuuuuuuum kaFanya puuuuu paaaaa ipokwako na unaona umeianzesha wewe hapo ndo unaona kweli mimi #Bado 😂😂😂😂

ANGALIA BADO YA HARMONIZE FEAT. DIAMOND PLATNUMZANGALIA "STUPID LOVE" YA JASON DERULO

Post a Comment
Powered by Blogger.