Sevilla Yaweka Rekodi Europa League Yaibugiza Vikombe Vitatu Liverpool.

Sevilla.
Fainali ya michuano ya Europa League ilichezwa jana katika mji wa Basel kwa mara ya tatu mfululizo kombe limeenda tena nchini Hispania na kuwa timu ya kwanza kuchukua mara tatu timu ya Sevilla imeibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya Liverpoo toka Uingereza.
Daniel Sturridge.
Liverpool ndo walikuwa wa kwanza kupata bao kupitia kwa mshambuliaji Daniel Sturridge kwa shuti kali hadi mapumziko majogoo walikuwa mbele kwa 1-0.
Kipindi cha pili kilianza kwa Sevilla kulishambulia lango la majogoo kama nyuki na kuweza kupata mabao yao kupitia kwa washambuliaji wake.
Kevin Gameiro.

Coke.
Hadi dakika 90 zinamalizika Sevilla wametwaa kombe hilo kwa jumla ya mabao 3-1 na kuweka rekodi ya michuano hiyo.
Post a Comment
Powered by Blogger.