Rappa Troy Ave Mikononi Mwa Polisi Kwa Mauaji


Rapper Troy Ave anakabiliwa na mashtaka ya mauaji baada ya kumpiga risasi mtu mmoja ambae alikua ni mlinzi wake mwenyewe katika tamasha liliofanyika hivi juzi la T I.

Troy Ave alimpiga risasi mlinzi wake huyo kwa bahati mbaya wakati alipokua anafyatua risasi hovyo pale alipozinguana na Rapper Maino ambao wote walitakiwa waperform siku hiyo
Troy Ave na Maino wana uhasimu wa muda mrefu na wamekua na vurugu za makundi (Gang violences) mara kwa mara na siku hiyo kikanuka katika club hiyo uliyojaza watu 1200
baadhi ya videos zinaonesha jinsi Troy Ave alivokua akirusha risaasi hovyo hadi kufikia kujipiga mwenyewe mguuni na kwa bahati mbaya akamshoot rafiki yake aitwae Banga .Bila shaka mvua nyingi zinamsubiri.

Maino amekanusha kuhusika na msala huo

Post a Comment
Powered by Blogger.