Tazama Jinsi Polisi Walivyokamata Mifuko 1060 Ya Sukari Jijini Mwanza.

Mifuko Ya Sukari.


Jeshi la Polisi mkoani Mwanza kwa kushirikiana na mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) mkoani humo limekamata kontena lenye mifuko 1060 ya Sukari sawa na tani 26.5 mali ya Adam Balenga ambayo inadaiwa kununuliwa kutoka kwenye kampuni ya Al–Neem Enterprises ya jijini Dar es Salaam, baada ya nyaraka za ununuzi wa Sukari hiyo kuonekana kuwa na utata.
Post a Comment
Powered by Blogger.