Angalia Picha Tano Za Rais Magufuli Akimuapisha Dkt.Asha-Rose Migiro.

Rais Magufuli akimuapisha Dkt.Ash-Rose Migiro.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemuapisha Dkt. Asha-Rose Mtengeti Migiro kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza. Hafla ya kuapishwa kwa Dkt. Asha-Rose Mtengeti Migiro imefanyika jana Mei 5 katika Ikulu ndogo ya Chamwino Mkoani Dodoma .
Dkt.Migiro akiapishwa.
Dkt.Migiro akicheka na Rais Magufuli.
Rais Magufuli na Makamu wa Rais Samia wakiwa na Dkt.Migiro.
Post a Comment
Powered by Blogger.