Picha Na Tazama Ratiba Ya Michuano Ya Kombe La Shirikisho Barani Afrika CAF Je TP Mazembe Kuzinduka Leo?.

Michuano ya kombe la shirikisho inaendelea leo kwa mechi mbili kuchezwa mabingwa kombe la ligi ya mabingwa Afrika TP Mazembe watakuwa nchini Tunisia kucheza na wenyeji Stade Gabesien mchezo wa awali Mazembe walishinda 1-0 hivyo wanahitaji sare ili waweze kutinga hatua ya makundi.
TP Mazembe.

Mchezo mwingine utachezwa mjini Tunis wababe wa Azam Esperance Sportive De Tunis watacheza na ndugu zao kutoka Algeria timu ya MO Bejaia na mchezo wa awali timu hizo zilitoka sare 0-0.
Esperance Sportive De Tunis.

Michezo mingine itaendelea siki ya Jumatano viwanja sita kuwaka moto katika kutafuta timu ambazo zitaingia katika hatua ya makundi.

Nchini Gabon kutakuwa na kazi kubwa wenyeji Mounana watacheza na mabingwa watetezi wa kombe hili timu ya Etoile Du Sahel na mchezo wa awali Etoile walishinda 2-0.
Etoile Du Sahel.

Al-Ahli Tripoli.
Post a Comment
Powered by Blogger.