Picha 8 Vijana Watakiwa Kuwa Makini Na Kupambana Na Ugonjwa Wa Ukimwi


Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania, Dkt. Fatma Mrisho, akitoa neno la hitimisho na kumkaribisha mgeni rasmi wakati wa kufunga mkutano wa kitaifa wa mwitikio wa kudhibiti UKIMWI miongoni mwa vijana.


 Afisa Uraghibishi na Habari wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania, akisoma tamko kwa niaba ya vijana, wakati wa kufunga mkutano wa kitaifa wa mwitikio wa kudhibiti UKIMWI. Wadau wa shughuli za UKIMWI kwa vijana, wakiwa kwenye mkutano wa kitaifa wa mwitikio wa kudhibiti UKIMWI.Baadhi ya waratibu wa afya za UKIMWI nchini, wakifuatilia mada wakati wa kufunga mkutano wa kitaifa wa mwitikio wa kudhibiti UKIMWI.Mmoja kati ya washiriki wa mkutano wa kitaifa wa mwitikio wa kudhibiti UKIMWI miongoni mwa vijana akikabidhiwa cheti cha ushiriki na mgeni rasmi James Kajugusi wakati wa kufunga rasmi mkutano huo.Mmoja kati ya washiriki wa mkutano wa kitaifa wa mwitikio wa kudhibiti UKIMWI miongoni mwa vijana Jaqueline Maeda akikabidhiwa cheti cha ushiriki na mgeni rasmi James Kajugusi wakati wa kufunga rasmi mkutano huo.


Baadhi ya washiriki walio kabidhiwa vyeti vya ushiriki wakati wa mkutano wa kitaifa wa mwitikio wa kudhibiti UKIMWI miongoni mwa vijana, wakiwa kwenye picha ya pamoja na mgeni rasmi James Kajugusi wakati wa kufunga rasmi mkutano huo.
Picha kwa hisani ya TACAIDS
Post a Comment
Powered by Blogger.