Ni Azam Au Yanga FA CUP Leo?

Leo ni Fainali ya Azam Federation Sport[FA] itakayochezwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kwa kuwakutanisha mabingwa wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Yanga na mabingwa wa kombe la Kagame Afrika Mashariki na Kati Azam.
Mechi hii inatarajiwa kuwa gumu na kali kutokana na mechi nne za mwisho timu hizi zimetoka sare na bingwa wa michuano hii ataiwakilisha Tanzania katika kombe la shirikisho Afrika CAF mwakani na mshindi atachukua milioni Hamsini.
Baadhi ya wachambuzi wa soka wanasema mchezo huu hautakuwa na mzuri kutokana na kila timu kufuzu kucheza mashindano ya CAF mwakani ni nani atachukua ubingwa leo hii ngoja tusubili dakika 90.
Post a Comment
Powered by Blogger.