Ndoa Yaibua Bifu Kubwa Kati Ya Chyna Na Kylie.

Kylie Jenner na Blac Chyna.
Kumenuka lile bifu lililikuwa limemalizika limeendelea tena kati ya kylie Jenner na Blac Chyna chanzo ni kwamba Chyna na Rob Kardashian ambaye ni kaka wa Kylie wanataka kufunga ndoa.
Kylie Jenner.
Blac Chyna.
Kylie na Chyna wamekuwa na bifu kwa muda mrefu huku sababu kuwa ni Rapa Tyga ambaye awali alikuwa mpenzi wa Chyna ambaye alizaa naye mtoto kabla ya kuachana na kutua kwa Kylie.
Rapa Tyga.
Rob Kardashian.
Bifu hilo lilisemekana kuwa limemalizika lakini limeibuka upya chanzo ni ndoa  ya Chyna na Rob huku Kylie inasemekana kuwa hataki kuunga mkono muda wa mipango yote ya tukio hilo hasa kwa kuwa naye anajipanga kutangaza ndoa yake na Tyga.
Post a Comment
Powered by Blogger.