Music | Download Namjua - Shetta Prod. Jobanjo X Laizer Classic

  Baada ya kufanya vizuri na hitsong "Shikorobo" mkali Shetta amerudi tena kwenye ngoma za masikio yako na huu mdundo mpya.
 Mzigo unaitwa "Namjua" umefanywa na Producers Jobanjo na Laizer Classic.
 Download Halafu Tuambie Iko Vipi.
https://mkito.com/artist/1295092
 
Post a Comment
Powered by Blogger.