MTV BASE Afrika Wamethibitisha Collabo Ya Diamond Platnumz Ft.Chris Brown.


Mwanamuziki wa Tanzania Diamond Platnumz.

Kurasa iliyothibitisha na Instagram ya kituo cha MTV Base Afrika imethibitisha kuwa msanii wa kimataifa kutoka Tanzania Diamond Platnumz anafanya collabo na Chris Brown.

Mwanamuziki wa Marekani Chris Brown.Diamond Platnumz ni miongoni mwa wasanii wakubwa Afrika aliyewahi kushinda tuzo za#MTVMAMA2015 #BESTLIVEACT #AFRIMMA2015  #AfricanArtistOfTheYear #AFRIMA2015 #AfricanArtistOfTheYear #MTVEMA2015 #BestAfricanAct na #BestWorldWideAct, Pia tuzo kama #MTVEMA.


Ukiacha Chris Brown, Diamond Platnumz ameshafanya collabo na Msanii kutoka Marekani Ne-yo.
Msanii wa Marekani Ne-Yo
Post a Comment
Powered by Blogger.