Mchezaji Muhimu Wa Simba Atimkia Kaizer Chief Ya Afrika Kusini.

Wachezaji wa Simba wakipongezana.
Mshambuliaji wa kutegemewa katika klabu ya Simba Ibrahimu Ajib ametimkia Afrika Kusini kufanya majaribio katika klabu ya Kaizer Chief inayoshiriki Ligi kuu Ya huko.
Ibrahimu Ajib.
Ajibu aliondoka siku ya Jumatatu kutokana na siku ya mchezo dhidi ya Mwadui alipewa kadi nyekundu baada ya kumchezea rafu Hassan Kabunda hivyo kusababisha kutolewa nje huku Uongozi chini Ya Rais Aveva umesema hautambui kuondoka kwake kwenda kufanya majaribio bila ya uongozi kujua na watamchukulia hatua kali za kinidhamu.
Post a Comment
Powered by Blogger.