Vanessa Mdee Na Shilole Wapanga Kupimana Mabavu Wikiendi Hii


Takribani wiki mbili sasa tangu zilizagaa video fupi kwenye mitandao ya kijamii zikiwaonyesha mastaa wa kike wakali wa muziki wa bongo +Vanessa Mdee  na  Shilole kila mmoja akimtambia mwenzake .
 Kupitia Instagram ya hitmaker wa Niroge +Vanessa Mdee  amepost picha ambayo inaonyesha atakua  kwenye show moja Bilz Night Club na Mkali Shishi.
 Kazi kwako shabiki kuamua nani mkali baada ya show hii kufanyika.
#Usikose #KikiOnFleek
Post a Comment
Powered by Blogger.