Manny Pacquiao Ashinda Kiti Cha Useneta Nchini Ufilipino.

Many Pacquiao.
Bondia raia wa Ufilipino Manny Pacquiao, ameshinda kiti kwenye bunge la senate la nchi hiyo.
Pacquiao ni ni kati ya masenata 12 wapya waliochaguliwa katika bunge la juu wakati wa uchaguzi wa hivi majuzi na alipata kura milioni 16.
Wengi wanaamini kuwa uchaguzi huo wa mmoja wa watu maarufu zaidi duniani katika ulingo wa ndodi, utotaa fursa katika jaribio la kushinda urais siku za usoni.
Pacquiao ameshinda mataji kadha makubwa duniani na kuwa mwakilishi wa bunge wa chini nchini Ufilipino.
Post a Comment
Powered by Blogger.