Mafikizolo Na Diamond Platnumz Kupiga Show UDOM Alhamisi Hii.


Kampuni ya Vodacom Tanzania itawaleta wasanii wa Afrika Kusini, Mafikizolo kwenye 

show ya pamoja na Diamond Platnumz kwenye chuo cha kikuu cha Dodoma, UDOM Alhamis hii.


Show hiyo ni sehemu ya matamasha yanayoandaliwa na kampuni hiyo vyuoni ambayo humhusisha Diamond ambaye ni balozi wake.

 Mafikizolo walimshirikisha hitmaker huyo kwenye wimbo wao ‘Colors of Africa.’ 
Hiyo inakuwa takriban mara ya tatu kundi hilo kutua nchini Tanzania.


Post a Comment
Powered by Blogger.