KASI YA RAIS MAGHUFULI YAWACHANGANYA WANASIASA

Kasi ya utendaji ya Rais DK JOHN POMBE MAGUFULI imetajwa kuwachanganya baadhi ya wanasiasa nchini na kushindwa kusimamia hoja ambazo zimelenga kuwaletea maendeleo wananchi.
Suala hilo limeibuliwa na Mbunge wa Mtera CCM, LIVINGSTONE LUSINDE wakati akichangia Bajeti ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa mwaka 2016/17 ambapo amehoji kitendo cha upinzani kupinga kila kitu.
‪#‎Seetheafricanlink‬
Post a Comment
Powered by Blogger.