Kamanda Siro Awataka Wazee Wa Yanga Kutoandamana.

Kamanda Simon Siro.
Kamanda wa Polisi kanda maalum Dar es Salaam Simon Siro,amewataka wazee wa Yanga kutoandamana bali watumie njia nyingine ili waweze kutatua tatizo lao na si kuandamana.
Baraza hilo linataka kuandama kufikisha ujumbe kwa mmiliki wa Magazeti ya Nipashe na The Guadiani Mengi kwa kumuandika vibaya mwenyekiti wa klabu yao Yussuph Manji.
Kamanda Siro,amewaita wazee hao ofisini kwake ili aongee nao na kuwapa ushauri mwingine na si kuandamana kutokana na pilikapilika za jiji la Dar es Salaam.
Post a Comment
Powered by Blogger.