Unyama Na Huzuni Mwanaume Amchinja Mkewe Na Mwanae Mkoani Pwani.


JESHI la Polisi mkoani Pwani linamshikilia mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Frowin Peter Mbwale (26) mkazi wa Kawe Jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kuua kwa kuwachinja mkewe Oliver Erasto (23) na mtoto wake Emanuel Frowin (3) kutokana na wivu wa mapenzi.Post a Comment
Powered by Blogger.