Huyu Ndo Mrithi Wa Donald Ngoma Yanga.


Mshambuliaji wa Zimbabwe Rodrick Mutuma.
Klabu ya Yanga imetwaa ubingwa wa ligi Kuu ya Vodacom Tanzania kwa mara ya pili Mfululizo hii ni mara ya 26 na kuendelea kuongoza katika kutwaa kombe hilo.
Donald Ngoma.
Ikiwa na mshambuliaji hatari anayechukua kufunga na kusumbua mabeki ni Donald Dombo Ngoma watu wameona pindi Ngoma anapokosekana katika timu hiyo pengo lake huwa ni kubwa mno na kushindwa kuzibwa na mtu yoyote pale Jangwani.
Huzuni kwa mashabiki wa Yanga endapo Ngoma ataondoka ili kuna mshambuliaji mtundu na msumbufu zaidi ya Ngoma na huwa anacheza timu ya Taifa ya Zimbabwe na alikuwemo katika kikosi kilichoshiriki michuano ya CHAN nchini Rwanda anaitwa Rodrick Mutuma huyu ndo mrithi wa Ngoma
Rodrick Mutuma.
Yanga kwa sasa inataka kuimarisha kikosi hicho kwa ajili ya michuano ya kimataifa kwa lengo la kukisuka ili kiwe tishio barani Afrika na kuna uwezekano wakaongeza watu wa wawili kutoka nje ya nchi kuja kuchukua nafasi na taarifa kutoka jangwani kuwa wanawafatilia kwa ukaribu kiungo mkabaji Walter Musona na Rodrick Mutuma ili waje kusaidiana na Tambwe,Ngoma,Kamusoka na Niyonzima.
Rodrick.

Mutuma.

Post a Comment
Powered by Blogger.