Huenda Barnaba Akaingia Kwenye Headlines Za Kesi Na Hawa Waandaji Wa ShowKupitia ukurasa wake wa Instagram mwanamuziki Barnaba amepost pooster ya show hiyo iliyopangwa kufanyika Ijumaa ya Tarehe 27/May akiisindikiza na ujumbe unaoashiria Barnaba amekerwa na kitendo cha waandaaji  Tamala La Miss Ustawi kuwadanganya mashabiki wake  anachokidai kutokuwepo kwa maelewano baina yake na waandaji hao.

 Kufuatia hatua hiyo mwanamuziki Barnaba ameahidi Kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria waandaji wa Tamasha hilo kama Ujumbe wake unavosomeka hapo chini.


"Show kwanza sina Makubaliano nayo na cha pili waungwana na wapenzi Wa Barnaba na watu wangu naomba sana Radhi kwa mliojiandaa Uu ni uwongo na wala sina show Hii na mwenye Show hii Jiandae kunipa maelezo ! na uzuri mimi ni msanii ambaye Nimekamilika na natambua Haki zangu so kwa sasa Tunapenda watu kama Nyie mnaochezea Thamani za wasanii Ili muwe Fundisho kwa watu wengine So naenda mbele Ya haki zangu kama msanii na Utaeleza Mbele na Utalipa Fidia Ya kupoteza Kaz zangu na macho Ya watu wangu kwa Siku hii ya Tarehe 27 Ambayo ndo weekend nakupa Taharifa kuwa Kama ulivyojichukulia mahamuzi basi nami kama msanii nachukua mahamuzi ya kutafuta sauti Yangu Talanta Yake iko wapi Wapendwa !! msirubunike Sina show #Miss-Ustawi na wana #Ustawi kumradhi Sana kama mnanitazama hapa ila cha kuwambia ila kingine kama uyu mtu ndo mwenye wa kamati Wenu basi nawaambieni Si mtu mzuri kwanza mwongo kwa jina jingine mwizi #WachaSheriaIfanyekaziyake ✊👓🎹#Shirikisho!-naWasanii-#na-serikali#-na-natambulika"

Kwenye Show hiyo Barnaba alikua ameambatanishwa na Wanamuziki Harminize na RayVanny Wote kutoka WCB.


 
 Powered By Red Gold.


 Je, Unajua Kuwa @RedGoldtz Wanatoa Mtonyo Kwa Ajili Yako?
Nunua Red Gold Tomato Au Chill Ujishindie Mamilioni Leo..!!
‪#‎LadhaNaMtonyo‬


Bonyeza Hapa Kujua Zaidi
Post a Comment
Powered by Blogger.