Hivi Ndivyo Bomu Feki Lilivyoairisha Mechi Ya Man United Dhidi Bournemouth Jana.
Kifaa hicho kiliachwa
na walinzi wa kampuni moja ya binafsi baada ya kufanya mazoezi
yaliyowahusisha mbwa wenye kunusa vifaa na vitu vya kihalifu.
Kutokana na kuonekana kwa kifaa hicho mechi kati ya Manchester United na Bournemouth iliahirishwa.
Tayari kifaa hicho kimeshaharibiwa chini ya uangalizi mkali wa timu ya kuthibiti milipuko.
Tayari maafisa wa mji wametaka uchunguzi ufanyike na kuita kitendo hicho kuwa ni cha kizembe na cha kudhalilisha.
Maelfu ya mashabiki walioondolewa katika uwanja wa Old Trafford ambapo mechi baina ya wenyeji Machester United na Bournemouth iliahirishwa na itachezwa siku ya jumanne.