Hii Hapa Ratiba Ya Shirikisho Barani Africa Wikendi Hii Huku Yanga Kuwavaa Wangola Taifa.

Michuano ya kombe la shirikisho barani Africa hatua ya 16 kuendelea wikendi hii katika miji mbalimbali kwa michezo ya awali kuchezwa.
Yanga.
Katika uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam klabu ya Yanga watakuwa nyumbani kucheza na matajiri wa madini timu ya Sagrada Esperanc ya Angola hii itakuwa mara ya kwanza timu zote kukutana  katika hatua hii ya mashindano.
Sagrada Esperanca.
Michezo mingine itachezwa tazama ratibakamili ya michuano hiyo.

Post a Comment
Powered by Blogger.