Hii Hapa Orodha 20 Ya Wachezaji Wanaovuta Mkwanja Mkubwa Zaidi Duniani.

KWA mujibu wa Jarida kabambe la Biashara la huko Marekani, Forbes,limemtaja mshambuliaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo kuwa Mchezaji wa Soka anayepokea  Malipo makubwa kuliko mchezaji mwingne zaidi  Duniani.

Ronaldo,raia wa Ureno  alivuna Dola Milioni 82 kwa Mwaka uliopita zikiwa Dola Milioni 53 kama Mshahara na Dola Milioni 29 Mapato yatokanayo na  haki za Matangazo na Udhamini.

Forbes pia limethibitisha kuwa hivi sasa Ronaldo kwa sasa ndo mchezaji anayelipwa vizuri.
Messi.
 
Nafasi ya pili inashikwa na mshambuliaji bora mara tano na mchezaji wa timu ya taifa ya Argentina na klabu ya Barcelona Lionel Messi alievuna Dola Milioni 77 zikiwa Mshahara ni Dola Milioni 51 na Matangazo na Udhamini Dola Milioni 26.

Katika orodha hiyo mchezaji wa klabu ya Man United ambaye pia ni Nahodha Wayne Rooney anashika nafasi ya 6  kutoka katika  Ligi kuu ya  England akivuna Jumla ya Dola Milioni 26.
Wayne Rooney.

TAZAMA ORODHA YA FORBES – 20 BORA KWA WACHEZAJI WANAOLIPWA JUU:
1 Cristiano Ronaldo (Real Madrid): $82m
2 Lionel Messi (Barcelona): $77m (£53.3m)
3 Zlatan Ibrahimovic (Paris Saint-Germain): $37m
4 Neymar (Barcelona): $36m
5. Gareth Bale (Real Madrid) - $34m
6. Wayne Rooney (Manchester United) - $26m
7. Sergio Aguero (Manchester City) - $24m
8. Luis Suarez (Barcelona) - $23m
9. Eden Hazard (Chelsea) - $22m
10. Cesc Fabregas (Chelsea) - $21m
11. James Rodriguez (Real Madrid) - $21m
12. Yaya Toure (Manchester City) - $20m
13. Radamel Falcao (Chelsea) - $19m
14. Thiago Silva (Paris Saint-Germain) - $18m
15. Mesut Ozil (Arsenal) - $18m
16. Bastian Schweinsteiger (Manchester United) - $18m
17. Angel Di Maria (Paris Saint-Germain) - $18m
18. Robin van Persie (Fenerbahce) - $17m
19. David Silva (Manchester City) - $17m
20. Samir Nasri (Manchester City) - $15m
Post a Comment
Powered by Blogger.