Haya Ndo Maneno Ya Waigizaji RIYAMA Na MBOTO Kuhusiana Na TUNDA MAN.


Riyama na Mboto.
Mchekeshaji maarufu hapa nchini, Mboto, pamoja na muigizaji wa filamu Bongo movies, Riyama Ally, wamekanusha kufanya filamu ya ‘Mama Kijacho’ kama alivyodai mwanamuziki Tunda Man ambaye ndiyo alijinadi kuwa muhusika mkuu.
riyama2300
Post a Comment
Powered by Blogger.