Haya Ndiyo Majibu Ya ALIKIBA Kuhusu Kumpigia Kura DIAMOND Kwenye TUZO ZA BET.

Alikiba na Diamond.
Ushirikiano kwenye kila jambo ndiyo huleta tija kwenye mafanikio yoyote na si vinginevyo.
Alikiba amevunja ukimya na kudhihirisha hilo pale alipojibu swali kwenye kipindi cha Planet Bongo, EA radio juu ya kumpigia kura Diamond kwenye tuzo za BET na kusema
''Mimi huwa na-support muziki mzuri ili na sisi tufike mbali na hata Diamond nitampigia kura kwenye tuzo za BET alipokuwa nominated, siendekezi team''.

Msanii huyo kwa sasa anatamba na ngoma yake mpya ya 'Aje.

 
 Je, Unajua Kuwa @RedGoldtz Wanatoa Mtonyo Kwa Ajili Yako?
Nunua Red Gold Tomato Au Chill Ujishindie Mamilioni Leo..!!
‪#‎LadhaNaMtonyo‬

Bonyeza Hapa Kujua Zaidi
Post a Comment
Powered by Blogger.