Haya Ndo Maamuzi Magumu Ya TFF Dhidi Ya Azam.

Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania limeinyanganya pointi tatu na mabao matatu timu ya Azam kwa kukeuka masharti ya kadi kwa wachezaji wake katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Mbeya City.
Azam FC.
Klabu ya Azam ilipokwa pointi hizo baada ya kumchezesha mchezaji akiwa na kadi tatu za njano dhidi ya mchezo kati ya yao na Mbeya City kwa sasa timu hiyo imebaki na pointi 57 na kushuka mpaka nafasi ya 3.
Erasto Nyoni.
Azam walimchezesha Erasto Nyoni akiwa na kadi hizo tatu na mbeya City wamepewa pointi tatu na mabao matatu na kuwafanya watoke katika hatua ya kushuka daraja na kuwa na pointi 33 huku wakiwa wamebakiwa na michezo mitatu mkononi.
Mbeya City.

Post a Comment
Powered by Blogger.