Haya Hapa Machozi Ya Huzuni Ya Wema Sepetu Huku Yeye Akitoa Hisia Zake.

Wema Sepetu.
Miss Tanzania mwaka 2006 na muigizaji wa bongo movie Wema Sepetu ametoa hisia zake kuwa yeye ni shsbiki wa kutupwa wa klabu ya Yanga na kutamba kuwa jumamosi lazima wanajangwani hao watafurahi kwani timu ya yao itashinda mabao zaidi ya matatu dhidi ya timu ya Angola katika mchezo wa kombe la shirikisho barani Africa.
Yanga.
Klabu ya Yanga kesho inajitupa uwanjani kucheza na Sagrada Esparanca katika kombe la shirikisho huu unatazamiwa kuwa mkali kutokana na timu zote hazijawahi kukutana huku Yanga huenda wakawakosa baadhi ya nyota wake wa kimataifa kutokana na kuwa na kadi mbili za njano.
Wema.
Akizungumza mrembo huyu amesema kuwa Yanga ni timu kubwa barani Africa kwa hiyo watawafunga wangola hao kwani hawana ubavu dhidi ya timu yake na kuwa hatarajii kuukosa mchezo huu utakaochezwa uwanja wa taifa na kuwaambia mashabiki wote wa klabu hiyo wajitokeze kwa wingi ili waweze kuishangilia kwa nguvu timu yao ili wapate ushindi na hatimaye waingie hatua ya makundi.
Post a Comment
Powered by Blogger.