Hatumwi Mtu Sokoni Ni Real Madrid Na Man City Nani Kumfuata Atletico Madrid Fainali?

Michuano ya ligi ya mabingwa baranu Ulaya inaendelea Leo kwa mchezo mwingine wa nusu fainali ya pili Real Madrid watakuwa nyumbani kuwakaribisha matajiri wa Uingereza Man City kutafuta timu itakayoungana na Atletico Madrid waliofuzu hatua ya kucheza fainali baada ya kuwatoa Bayern Munich.
Real.
 Mchezo huu unatazamiwa kuwa mkali kutokana na mechi ya awali kutoka sare kutokana na Real hawakuwa na wachezaji wake hatari akiwemo Ronald na Benzema na watakuwa na kazi ya ziada kuwatoa Man City.
Man City.


Post a Comment
Powered by Blogger.