Hatima Ya Ubingwa Barcelona Upo Mikononi Mwa Granada Leo? Ni Suarez Au Ronaldo Kubeba Kiatu Cha Dhahabu?

Barcelona.
Ligi kuu ya Hispania La Liga inawendelea huku wakitarajia kumjua bingwa mpya wa msimu huu kutokana mpaka sasa hakuna anayejua kuwa fulani atachukua ubingwa kwani mpaka sasa kuna timu mbili ambazo zinachuana mabingwa watetezi wa kombe hilo Barcelona wana pointi 88 huku Real Madrid wana 87.
Granada.
Barcelona watakuwa ugenini kucheza na timu ya Granada huu mchezo ndo unabeba ubingwa endapo tu Barcelona atafungwa au kutoa sare tutashuhudia wapinzani wao wakubwa Real Madrid wanachukua ubingwa endapo watashinda leo
Real Madrid.
Real watakuwa na ugenini kucheza na Reportivo La Coruna huku wakiomba Barcelona afungwe na wao wachukue ubingwa hii leo.
Deportivo La Coruna.
Vita nyingine itakuwa kati ya Luiz Suarez na Cristiano Ronaldo katika kuwania kiatu cha ufungaji bora kwa mwaka huu kwani kila mmoja ana nafasi ya kuchukua huku Suarez akimpita Ronaldo tofauti ya mabao 4 kwani Suarez 37 na Ronaldo 33.
Luiz Suarez.
Cristiano Ronaldo.

Post a Comment
Powered by Blogger.