Haya Ndo Majibu Ya Harmonize Kuhusiana Na Uhusiano Na Jack Wolper.Msanii wa bongofleva Harmonize.

Akizungumza na kituo kimoja cha Television Harmonize amesema kwa Wolper ni mpenzi wake na muda ukifika atampelekwa nyumbani kwao kwa ajili ya kumtambulisha kwa wazazi na ndugu wengine.
Baada ya kuulizwa kama anafahamu kuhusu mpenzi wake huyo kuvalishwa pete ya uchumba alijibu kuwa yeye mambo ya pete hayafahamu kwa sababu hakumkuta na pete yoyote.
Wolper na Harmonize.

Itakumbukwa kuwa Wolper alishawahi kutoka kimapenzi na Diamond Platnumz ambaye ni bosi wa Harmonize kwa sasa.
  Powered By Red Gold. 
 Je, Unajua Kuwa @RedGoldtz Wanatoa Mtonyo Kwa Ajili Yako?
Nunua Red Gold Tomato Au Chill Ujishindie Mamilioni Leo..!!
‪#‎LadhaNaMtonyo‬Bonyeza Hapa Kujua ZaidiPost a Comment
Powered by Blogger.