HII NDIO KAULI YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA KUHUSU SUKARI

     
Bundi wa ukosefu wa Sukari katika baadhi ya maeneo nchini na kule inakopatikana kuuzwa hadi Shilingi 5000 kwa kilo moja ameendelea kuvitawala viwanja vya Bunge. Kwani baada ya kuacha kuruka katika eneo hili kwa siku kadhaa, Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni FREEMAN MBOWE ameibuka tena na majadala huo katika kipindi cha maswaali kwa Waziri Mkuu ambapo amehoji utaratibu ambao kufahamu utaratibu serikali iliyoutumia kuagiza sukari kutoka nje ya nchi. post powered by Redgold​(SHINDA MAMILION NA Redgold) #LadhaNaMtonyo
Post a Comment
Powered by Blogger.