Bayern Munich Kama Yanga, Waibomoa Tena Borussia Dortmund Na Benfica.

Mabingwa wapya na wakihistoria timu ya Bayern Munich imetwaa taji la ligi kuu ya Ujerumani kama ilivyo Yanga ya Tanzania zikitwaa mara 26 na zikitetea kombe hilo huku tayari zimeanza kujiweka fiti kwenye usajili mpya kwa Msimu mpya wa 2016/17 kwa kuwabomoa wapinzani wao wakuu Borussia Dortmund kwa kumsajili beki kisiki Mats Hummels na kinda la Benfica Renato Sanchez kama ilivyo Yanga imewabomoa wapinzani wao wakubwa wekundu wa msimbazi kwa kumsajili beki wao tegemeo Hassan Kessy.
Mats Hummels.
Renato Sanchez.
Hassan Kessy.

Post a Comment
Powered by Blogger.