Mwanasheria Mkuu Na Mthamini Wa Manispaa Wasimamishwa Kazi.


Baraza la Madiwani la Me 4 mwaka huu imeamua kumsimamisha kazi mwanasheria mkuu wa Manispaa bw. Burton Mahenge na Mthamini wa manispaa bw.Richard Chidaga. Meya wa Manispaa ya kinondoni Mstahiki Jacob Boniface akizungumza wakati akitoa taarifa ya kusimamishwa kazi kwa Mwanasheria Mkuu wa MAnispaa na Mthamini wa Manispaa kutokana na kupoteza mali na kuchelewa kupata manufaa katika mali zake.Kikao cha Kamati ya fedha na Uongozi cha april 29 mwaka huu kiliagiza kuwa yaorodheshwe mashauri yote ambayo haya kusimamiwa vizuri na Mwanasheria wa Manispaa bw.Mahenge na hivyo kuisababisha Manispaa kupata hasara.Kufuatia makosa yaliyogundulika katika mashauri hayo makosa yaligundulika katika mashauri ni pamoja na Miradi ya uwekezaji wa Oysterbay Villa,Manispaa ilipaswa kupata shilingi milioni 900 kwa mwaka kwa uwekezaji.mashauri hayo.Hata hivyo imeonekana kuwa manispaa hiyo imepata hasara kubwa katika miradi mingi  ambayo aijakamilika
Post a Comment
Powered by Blogger.