Baada Ya Kutwa Ubingwa Kocha Wa Leicester City Claudio Ranier Asema Haya.
![]() |
Kocha wa Leicester City Claudio Ranier. |
Fedha nyingi hujenga timu kubwa na kama kawaida timu kubwa hushina.Sasa tunaweza kusema ni asilimia 99 ,alisema Ranieri.
![]() |
Mashabiki wakiwa na furaha. |
Ranieri alisema kwamba ushindi kama wa timu yake hutokea mara moja katika kipindi cha miaka 20 akitoa mfano wa Nottignham Forest mwaka 1978 na Blackburn Rovers 1995.