Azam Yazizidi Simba Na Yanga Viwango Vya Vilabu Bora Afrika.

Azam.

Simba inakamata nafasi ya pili nchini ikiwa nafasi ya 332 barani Afrika wakati Yanga haimo hata kwenye orodha kutokana na kukosa sifa za kushindanishwa.

5 BORA
Mabingwa wa Afrika, klabu ya TP Mazembe ya DRC wanakocheza Watanzania  Thomas Ulimwengu inaongoza bara la Afrika ikifuatwa na El-Marreikh (Sudan), Vita Club (Congo), Al-Hilal Omdurman (Sudan) na Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini inayokamilisha tano bora barani.

Mabingwa wa Ligi Kuu ya Kenya, Gor Mahia FC wameunga na Yanga kukosa sifa ya kuwamo katika orodha ya klabu hizo 431 zinazostahili kushindanishwa kwa ubora wa soka.

Klabu ya Zesco United ya Zambia anayoichezea mshambuliaji Mtanzania Juma Luizio, imefanya vizuri katika ubora huo na kukamata nafasi ya 133.

Kuzijua klabu zote 431 zilizotinga katika orodha hii, ingia kwenye mtandao wa FootballDatabase. 

10 BORA HII HAPA:
1.     TP Mazembe – DRC
2.     Al-Merreikh – Sudan
3.     AS Vita – DRC
4.     Raja Casablanca – Morocco
5.     Al Hilal Omdurman – Sudan
6.     Kaizer Chiefs – South Africa
7.     Esperance – Tunisiawww.seetheafrica.com
8.     Cotonsport – Cameroon
9.     Etoile du Sahel – Tunisia
10.   Dynamos – Zimbabwe
Post a Comment
Powered by Blogger.