Angalia Msimamo Wa Uingereza Baada Ya Mechi Za Jana Huku Timu Ya Malkia Elizabeth Ikishuka Daraja Rasmi.

Ligi kuu ya Uingereza iliendelea jana kwa mechi tatu za viporo kuchezwa ambapo Sunderland wameshinda 3-0 dhidi ya Everton,Liverpool 1-1 na Chelsea huku Norwich City 4-2 dhidi ya Watford kwa matokeo hayo timu ambazo zinashuka daraja zimejulikana tazama msimamo wa ligi hiyo.
Nambari            Klabu Mechi          Mabao         Alama
1 Leicester 37 32 80
2 Tottenham 37 38 70
3 Arsenal 37 25 68
4 Man City 37 30 65
5 Man Utd 37 12 63
6 West Ham 37 15 62
7 Southampton 37 15 60
8 Liverpool 37 13 59
9 Chelsea 37 6 49
10 Stoke 37 -15 48
11 Swansea 37 -10 46
12 Everton 37 1 44
13 Watford 37 -10 44
14 Crystal Palace 37 -9 42
15 West Brom 37 -14 42
16 Bournemouth 37 -20 42
17 Sunderland 37 -14 38
18 Newcastle 37 -25 34
19 Norwich 37 -25 34
20 Aston Villa 37 -45 17
Post a Comment
Powered by Blogger.