Angalia Msimamo Wa Ligi Kuu Ya Uingereza Baada Ya Mechi Ya Jana Huku Tottenham Ikiibeba Leicester City.

Harry Kane wa Tottenham.
Ligi kuu ya Uingereza iliendelea jana kwa mechi moja timu ya Chelsea imeshindwa kufurukuta katika uwanja wa nyumbani baada ya kutoka sare ya 2-2 dhidi ya Tottenham huku ndoto za Spurs kuchukuwa ubingwa msimu huu zikizimwa na hatimaye timu ya Leicester City imeweza kutwaa ubingwa kwa mara ya kwanza na kuweka historia ya maisha ya klabu hiyo pamoja na kocha wao Claudio Ranieri.
Tazama msimamo wa Ligi hiyo.

Nambari             Klabu Mechi          Mabao               Alama
1 Leicester 36 30 77
2 Tottenham 36 39 70
3 Arsenal 36 25 67
4 Man City 36 30 64
5 Man Utd 35 12 60
6 West Ham 35 17 59
7 Southampton 36 14 57
8 Liverpool 35 11 55
9 Stoke 36 -14 48
10 Chelsea 35 7 48
11 Everton 35 6 44
12 Watford 35 -6 44
13 Swansea 36 -13 43
14 West Brom 36 -14 41
15 Bournemouth 36 -20 41
16 Crystal Palace 36 -10 39
17 Newcastle 36 -25 33
18 Sunderland 35 -18 32
19 Norwich 35 -26 31
20 Aston Villa 36 -45 16
Post a Comment
Powered by Blogger.