William Ruto Asema Walioathirika Na Ghasia Za Uchaguzi 2007 Lazima Walipwe Haki Zao.

Makam wa Rais Kenya William Ruto.

Naibu wa rais nchini Kenya William Ruto ameviambia vyombo vya habari kwa mara ya kwanza tangu kesi iliokuwa ikimkabili kuhusiana na ghasia zilizotokea katika uchaguzi wa mwaka 2007 katika mahakama ya ICC ifutiliwe mbali.
William Ruto.
Ruto amesema kwamba serikali haitapumzika hadi waathiriwa wa gjhasia hizo ambapo takriban watu 1200 walifariki wapate haki yao.
''Sababu ambayo iliofanya kesi hiyo kuanguka ni kwamba hatukuwa na hatia''.


   Published By: Alex Sonna. UnawezaKuzipata Story Zote Za Ndani Na Nje Ya Bongo Kwa Kujiunga Na SeetheAfricanLinkKwenye:Facebook|Twitter|Instagram|YouTube|Audiomack
Powered by Blogger.